SAVARA MUDIGI WA SAUTI SOL AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA
Hatimaye msanii wa Sauti sol Savara Mudigi ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la Savage Level. Album hiyo ina jumla ya mikwaju 14 ya moto ikiwa na kolabo mbili tu kutoka kwa Karun na Nyashinski. Savage Level ina nyimbo kama Sababisha, Changes, Balance, Hallo, In My Heart na inapatikana Exclusive kupitia digital platforms […]
Read More