Savara wa Sauti Sol atangazwa balozi mpya wa kinywaji cha Kenya Cane
Msanii wa Sauti Sol, Savara ametangazwa kuwa balozi mpya wa knywaji cha Kenya Cane Kupitia ukurasa wake wa Instagram Savara amesema ni jambo la faraja kufanya kazi na Kenya Cane kwani huo ni mwanzo wa ushirikiano mzuri kati yake na kampuni hiyo. Lakini pia ameishukuru uongozi wake pamoja na wadau wote waliofanikisha dili hilo huku […]
Read More