RAPA WANGECHI ADOKEZA UJIO WA ALBUM MPYA YA SCAR MKADINALI

RAPA WANGECHI ADOKEZA UJIO WA ALBUM MPYA YA SCAR MKADINALI

Rapa wa kike nchini Wangechi amedokeza kuwa member wa  kundi la Wakadinali, Scar Mkadinali ana mpango wa kuachia album yake mpya mwisho mwa mwezi huu wa Januari. Wangechi amethibitisha hilo kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kusema kwamba  album ya rapa huyo iitwayo Easy itaingia sokoni januari  24 mwaka huu. Hata hivyo […]

Read More