Rapa Diddy Kusomewa Hukumu Oktoba 3 kwa Kesi ya Ukahaba

Rapa Diddy Kusomewa Hukumu Oktoba 3 kwa Kesi ya Ukahaba

Rapa na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Sean Combs almaarufu Diddy, amepangiwa rasmi tarehe ya kusomewa hukumu yake kuhusiana na makosa ya biashara ya ukahaba. Jaji Arun Subramanian ametangaza kuwa hukumu hiyo itasomwa Oktoba 3 mwaka huu, ikiwa ni siku ile ile aliyopendekeza wiki iliyopita mara baada ya Diddy kupatikana na hatia kwa makosa mawili makuu […]

Read More
 Mahakama Yatoa Uamuzi Mpya Kesi ya Diddy, Shtaka Kubwa Linasubiriwa

Mahakama Yatoa Uamuzi Mpya Kesi ya Diddy, Shtaka Kubwa Linasubiriwa

Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, amepatikana na hatia ya kosa la ukahaba haramu lakini amesafishwa mashtaka mazito zaidi ya biashara haramu ya ngono (sex-trafficking) na uhalifu wa kupanga (racketeering), ambayo yangemuweka gerezani maisha. Kufuatia hukumu hiyo, mchakato wa kutoa adhabu rasmi umekamilika na sasa unatarajiwa kutangazwa rasmi hivi karibuni. Diddy anakabiliwa […]

Read More
 Ushahidi wa Kid Cudi Dhidi ya Diddy Wamvunja Moyo Kanye West

Ushahidi wa Kid Cudi Dhidi ya Diddy Wamvunja Moyo Kanye West

Rapa maarufu mwenye utata, Kanye West, ametoa hisia zake kuhusu hali inayoendelea kumkumba Sean Diddy Combs, akieleza masikitiko yake juu ya hatua ya Kid Cudi kutoa ushahidi dhidi ya Diddy. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Ye ameonekana kuzungumzia kile anachokiona kama mfumo wa haki unaowakandamiza watu weusi, akisisitiza haja ya jamii ya wasanii […]

Read More
 Watu Wanalipwa $50 kwa Saa Kuvaa T-Shirt za “Free Diddy”, Mwanamke Afichua Siri

Watu Wanalipwa $50 kwa Saa Kuvaa T-Shirt za “Free Diddy”, Mwanamke Afichua Siri

Taarifa mpya zimeibuka kuhusu watu waliokuwa wamevaa T-Shirt zenye maandishi “Free Diddy” nje ya mahakama, zikionesha kwamba si wote waliokuja kwa hiari yao. Mwanamke mmoja amefichua kuwa baadhi ya watu waliokuwa wamevalia T-Shirt hizo walikuwa wamelipwa hadi $50 kwa saa ili kushiriki katika kile kinachoonekana kuwa ni kampeni ya kumuunga mkono msanii maarufu, Diddy. Kwa […]

Read More