Cassie Amuomba Hakimu Asimwachilie Diddy kwa Dhamana

Cassie Amuomba Hakimu Asimwachilie Diddy kwa Dhamana

Casandra “Cassie” Ventura, mpenzi wa zamani wa rapa maarufu Sean “Diddy” Combs, amewasilisha ombi rasmi mahakamani akiomba msanii huyo asiachiliwe kwa dhamana, akieleza kuwa usalama wake uko mashakani endapo ataachiliwa kabla ya hukumu kutolewa. Katika barua iliyowasilishwa kwa Jaji Arun Subramanian, Cassie amesema anahofia maisha yake na usalama wa mashahidi wengine waliohusika katika kesi hiyo. […]

Read More
 Mia Asema Diddy Alimdhalilisha Kingono, Atoa Ushahidi Mzito Mahakamani

Mia Asema Diddy Alimdhalilisha Kingono, Atoa Ushahidi Mzito Mahakamani

Aliyekuwa msaidizi wa mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Sean “Diddy” Combs, anayejulikana kwa jina la Mia, amejitokeza mahakamani kutoa ushahidi mzito unaomhusisha mwajiri wake wa zamani na unyanyasaji wa kingono. Mia alieleza mbele ya mahakama jinsi alivyodhalilishwa kingono na Diddy, akisema tukio hilo lilimuacha akiwa na hofu kubwa, aibu na maumivu ya kihisia ambayo bado hayajapona. […]

Read More