Sean Kingston Ahukumiwa Miaka 3.5 Gerezani kwa Ulaghai
Mwanamuziki maarufu Sean Kingston amepewa kifungo cha miaka mitatu na nusu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki katika mpango mkubwa wa utapeli wa zaidi ya dola milioni 1 nchini Marekani. Kingston pamoja na mama yake, Janice Eleanor Turner, wanadaiwa kutumia umaarufu wa Kingston na akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwahadaa wafanyabiashara wa […]
Read More