Lupita Nyongo amtambulisha mpenzi wake kwa dunia
Nyota wa Filamu nchini Lupita Nyongo ameweka wazi kuwa anachumbiana na mpenzi wake ambaye ni ripota wa michezo na muasisi mwenza wa kampuni ya mavazi ya Surfapparel Company ,Selema Masekela. Lupita amethibitisha habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuposti video hii na kisha akaambatanisha na maneno yanayosomeka, “We just […]
Read More