Mwanamitindo Liebe Kiki Aachana na Bleaching, Ahamasisha Kujikubali
Mwanamitindo na influencer maarufu, Liebe Kiki, amefunguka kuhusu safari yake ya kurejesha rangi yake halisi ya ngozi baada ya kutumia kwa muda mrefu bidhaa za kubadilisha rangi. Katika taarifa yake kupitia Instagram, Kiki alieleza kuwa yuko kwenye hatua za mwisho za kuondoa athari za bleaching na kufichua kuwa sababu kubwa iliyomsukuma kuanza mchakato huo ilikuwa […]
Read More