Senegal Yatinga Fainali ya AFCON 2025

Senegal Yatinga Fainali ya AFCON 2025

Timu ya taifa ya Senegal imefuzu kwa hatua ya fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Misri katika mchezo uliochezwa mjini Tangier. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na nyota wa kimataifa Sadio ManΓ© dakika ya 78, akiendeleza rekodi yake ya kipekee katika […]

Read More
 Senegal Kuchuana na Congo Kundi D CHAN

Senegal Kuchuana na Congo Kundi D CHAN

Mabingwa watetezi wa mashindano ya soka ya Afrika kwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nyumbani, Senegal, wataangazia kuandikisha ushindi wao wa pili mtawalia katika mechi dhidi ya Congo, itakayochezwa leo katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mchuano huo wa Kundi D umepangwa kuanza saa 5:00 jioni. Senegal iliifunga Nigeria 1-0 katika mechi yao ya ufunguzi na sasa […]

Read More
 Senegal yaondolewa Kombe la Dunia

Senegal yaondolewa Kombe la Dunia

Wawakilishi wa Afrika kwenye michuano ya Kombe la Dunia timu ya Taifa ya Senegal imeondoshwa kwenye hatua ya 16 bora ya mashindano hayo baada ya kupokea kichapo kizito cha 3-0 kutoka kwa England Jordan Henderson na Harry Kane waliifungia England katika kipindi cha kwanza huku bao la tatu likifungwa na Bukayo Saka mwanzoni mwa kipindi […]

Read More