SERENA BATA AKANUSHA MADAI YA KURUDIANA NA SIPAPA

SERENA BATA AKANUSHA MADAI YA KURUDIANA NA SIPAPA

Kwa muda sasa, kumekuwa na majabizano makali kati ya sosholaiti maarufu nchini Uganda Sipapa na mpenzi wake wa zamani Serena Bata. Sipapa amekuwa akimshutumu  vikali Serena Bata  kwa kutunga nyimbo zilizomlenga moja kwa moja. Kwenye mahojiano yake wiki kadhaa zilizopita,  Sipapa alisikika akimuonya serena bata akome kumtaja kwenye nyimbo zake ambapo alienda mbali na kutishia […]

Read More