LEBO YA SONY MUSIC ENTERTAINMENT YAANZA KUWASAJILI WASANII WAPYA
Msimamizi wa Masoko na Maendeleo ya Wasanii katika ukanda wa Afrika Mashariki chini ya Sony Music Entertainment, Seven Mosha amesema kuwa ameshaanza kuwasaini wasanii kadhaa na watakuwa wanawatoa orodha ya wasanii wapya kadiri muda unavyosonga. Katika mahojiano yake hivi karibuni Seven amesema msanii wa kwanza kumtoa ni Ferre gola kutoka DR Congo ambaye Machi 25, […]
Read More