NOCK Yasisitiza Usawa kwa Wanariadha Wote kuelekea Olimpiki
Kamati ya Kitaifa ya Olimpiki nchini Kenya (NOCK) imesisitiza dhamira yake ya kuhakikisha kila mwanariadha nchini anapewa nafasi sawa ya kushiriki katika mashindano ya kimataifa, ikiwemo Michezo ya Olimpiki ya Vijana ya Dakar na Olimpiki ya Los Angeles mwaka 2028. Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa NOCK, Shadrack Maluki, wakati wa mkutano wake na Mwenyekiti […]
Read More