B Classic akiri kutamani penzi la mwanasholaiti maarufu mtandaoni Shakilla
Msanii B Classic ameweka wazi matamanio ya kumchumbia mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya Shakilla kwa kigezo kuwa lazima awe mlokole. Kupitia instastoy yake amesema yuko tayari kuingia kwenye mahusiano na Shakilla huku akidai kuwa atafanya kila awezalo kuhakikisha kuwa mrembo huyo anafurahia maisha yake ya ndoa. “Shakila ! I have seen unataka kutoka soko – […]
Read More