Shakira aweka rekodi kwenye mtandao wa Youtube

Shakira aweka rekodi kwenye mtandao wa Youtube

Mwimbaji nyota duniani Shakira ameuanza mwaka 2023 kwa kuvunja rekodi ya muda wote ya mtandao wa Youtube hii ni kufuatia wimbo wake mpya uitwao “BZRP MUSIC SESSION 53” kuwa wimbo wa Ki-Latin uliotazamwa kwa muda mfupi zaidi katika mtandao huo tangu video itoke. Inaelezwa kuwa, video ya wimbo huo ilipata views Milioni 63 kwa saa 24 […]

Read More
 SHAKIRA AKABILIWA NA KESI YA KUKWEPA KULIPA KODI UHISPANIA

SHAKIRA AKABILIWA NA KESI YA KUKWEPA KULIPA KODI UHISPANIA

Mwimbaji kutoka Colombia, Shakira anakabiliwa na kesi nchini Uhispania kwa madai ya ulaghai wa kulipa kodi, kulingana na vyombo vya habari nchini humo. Waendesha mashtaka wa serikali wanadai Shakira alishindwa kulipa ushuru wa mapato ya kibinafsi na mali kati ya 2012-2014, ambayo kwa sasa ina thamani ya takriban dola milioni 15, madai ambayo ameyakanusha. Shakira […]

Read More
 SHAKIRA AKIRI KUMPENDA GERARD PIQUE LICHA YA NDOA YAO KUVUNJIKA

SHAKIRA AKIRI KUMPENDA GERARD PIQUE LICHA YA NDOA YAO KUVUNJIKA

Mwanamuziki Shakira bado anaumizwa na kuvunjika kwa penzi lake na Gerard Pique, ameripotiwa kukasirika baada ya kuona video ambayo inamuonesha nyota huyo wa Barcelona akidendeka na mpenzi mpya, binti wa miaka 23 anayeitwa Clara Chia Marti. Tovuti mbali mbali nchini Uhispania zinaripoti kwamba Shakira ameshikwa na gadhabu baada ya kumuona Pique ambaye waliachana mwezi June […]

Read More
 PENZI LA SHAKIRA NA GERALD PIQUE LAVUNJIKA RASMI

PENZI LA SHAKIRA NA GERALD PIQUE LAVUNJIKA RASMI

Mwanamuziki maarufu duniani Shakira amethibitisha kuachana na Gerard Piqué baada ya miaka 11 ya kuwa kwenye mahusiano. Timu yake ya mawasiliano imetoa taarifa rasmi kupitia mtandao wa Twitter ambapo imeandika “Tunasikitika kuthibitisha kwamba tumeachana rasmi. Kwa ustawi wa watoto wetu, ambao ndio kipaumbele chetu kikubwa zaidi, tunakuomba kwamba uheshimu faragha yao. Asante.” Sababu kuu iliyopelekea […]

Read More
 PENZI LA SHAKIRA NA PIQUE LAINGIWA NA UKUNGU

PENZI LA SHAKIRA NA PIQUE LAINGIWA NA UKUNGU

Mwanamuziki maarufu duniani Shakira anadaiwa kumfumania mumewe mchezaji staa wa Barcelona Gerard Piqué akiwa na mwanamke mwingine, hiyo imepelekea wawili hao kwa sasa kila mmoja kuishi kivyake huku penzi lao likiwa mbioni kuvunjika. Kwa mujibu wa Mwandishi wa Gazeti la El Periodico, Emilio Pérez de Rozas. Shakira na Pique walianza mahusiano mwaka 2011 baada ya […]

Read More