Mwanamuziki wa Zamani wa Sailors Aomba Msaada kwa Umma

Mwanamuziki wa Zamani wa Sailors Aomba Msaada kwa Umma

Aliyekuwa msanii wa kikundi cha muziki wa Gengetone Sailors Gang, aitwaye Shalikido, ameomba msaada kutoka kwa Wakenya pamoja na mchekeshaji maarufu Eric Omondi ili kuisaidia familia yake. Msanii huyo amesema licha ya kujaribu shughuli mbalimbali za kujikimu, bado anakumbana na changamoto kubwa za kifedha na ameshindwa kupata kipato cha kutosha kuendesha maisha ya kila siku. […]

Read More