Prodyuza Teddy B atuhumiwa kumtapeli msanii chipukizi
Mtayarishaji mkongwe kwenye muziki nchini Teddy B amejipata pabaya baada ya kukumbwa na tuhuma za kumtapeli msanii chipukizi aitwaye Shanki. Kwa mujibu wa Shanki alimlipa prodyuza huyo kiasi cha Ksh 20,000 kwa ajili ya kumrekodia wimbo ila amekuwa akimkwepa toka mwezi Januari mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Twitter amechapisha picha ya mazungumzo kati yake […]
Read More