SHATTA WALE AACHIWA UHURU
Staa wa muziki nchini Ghana Shatta Wale ameachiwa huru kutoka jela ikiwa ni siku chache tu tangu kukamatwa kwake. Shatta Wale alitiwa mbaroni na polisi nchini humo baada ya kusambaza taarifa zisizo za ukweli na kuzua taharuki katika jamii. Kumbuka Oktoba 19, mwaka huu zilisambaa taarifa zikidai nyota huyo ameshambuliwa kwa risasi na pengine huenda […]
Read More