Shatta Wale Akanusha Madai ya Kumtelekeza Mama Yake

Shatta Wale Akanusha Madai ya Kumtelekeza Mama Yake

Msanii wa muziki wa dancehall kutoka Ghana, Charles Nii Armah Mensah, maarufu kama Shatta Wale, amekanusha madai yanayosambaa kwamba amemtelekeza mama yake mzazi kwa kutompa mahitaji ya msingi. Akizungumza kupitia podcast ya moja kwa moja, Shatta Wale aliweka wazi kuwa amewahi kumsaidia mama yake kwa njia mbalimbali, ikiwemo kumpatia magari na makazi bora ya kuishi. […]

Read More
 SHATTA WALE AMVUA NGUO BURNA BOY, ATOA MATUSI MAZITO

SHATTA WALE AMVUA NGUO BURNA BOY, ATOA MATUSI MAZITO

Bifu la Shatta Wale wa Ghana na Burna Boy wa Nigeria linaendelea kushika kasi, Shatta Wale ameibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kuingia ulingoni na African giant, Burna Boy. Kupitia mfululizo wa tweets za matusi katika mtandao wa Twitter  Shatta Wale alionekana mwenye hasira huku akitoa vitisho kwa Burna Boy asikanyaga kwenye ardhi ya […]

Read More