SHATTA WALE ATIWA MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO

SHATTA WALE ATIWA MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO

Jeshi la Polisi nchini Ghana limemtia mbaroni mwanamuziki Shatta Wale kwa madai ya kusambaza taarifa zisizo za ukweli kiasi cha kuzua hofu na taharuki kwa jamii. Oktoba 19 mwaka huu zilienea taarifa zikidai kuwa mwanamuziki huyo amepigwa risasi mitaa ya East Legon, nchini Ghana. Mtu wa karibu na rapa huyo alienda mbali zaidi na kusema […]

Read More