Msanii Shay Diva apatikana na hatia ya kuiba gari ya mpenzi wake wa zamani
Mwanamuziki wa Kenya Sheila Wairimu maarufu kama Shay Diva amepatikana na hatia ya kuiba gari aina ya Land cruiser V8 kutoka mpenzi wake. Hakimu mkaazi wa mahakama ya Kitale Julius N’garng’ar amesema Shay Diva alihamisha umiliki wa gari hilo katika mazingira ya kutatanisha siku moja tu baada ya kifo cha mpenzi wake . Shay Diva […]
Read More