Sheebah Karungi atangaza kuzindua App ya filamu

Sheebah Karungi atangaza kuzindua App ya filamu

Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Sheebah Karungi ameweka wazi mpango wake wa kuingia kwenye baishara ya filamu. Kwenye mkao na wanahabari sheebah amesema safari hii hatoigiza bali yupo mbioni kuzindua programu yake ya simu ambayo itawapa watumiaji wa mitandaoni ya kijamii fursa ya kutizama filamu za nchini kwao uganda wakiwa maeneo mbali mbali duniani. […]

Read More