Odi wa Murang’a atuhumiwa kuiba wimbo wa Shekina Karen
Mrembo anafanya vizuri na wimbo wa “Daidai” Shekina Karen amebuika na kumtuhumu msanii Odi wa Muranga kwa kuiba ubunifu wa wimbo wake uitwao “Iende” aliouachia miezi sita iliyopita. Mrembo huyo amesema yeye ndiye wa kwanza kurekodi wimbo huo ambao alikuwa amemshirikisha Smady wa Mbogi Genje lakini alishangazwa na hatua ya Odi kuchukua mashairi pamoja na […]
Read More