SHILOLE AMVUA NGUO ALI KIBA

SHILOLE AMVUA NGUO ALI KIBA

Baada ya interview ya Ali Kiba kutrend akizungumzia sakata la kutomualika msanii mwenzake shilole katika uzinduzi wa album yake ya Only One King ,tayari mrembo huyo ameweza kumjibu Ali Kiba kupitia ukurasa wake wa Instagram. Katika maelezo yake Shilole ameonekana kutoridhishwa na kauli ya ali kiba kuwa hakumualika kwenye listening party ya album yake na […]

Read More