SHILOLE ATOA ANGALIZO KWA MASHABIKI ZAKE FACEBOOK
Staa wa muziki wa bongofleva Shilole amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake yenye jina lake katika mtandao wa Facebook kufanya uhalifu. Kupitia ukurasa wake wa instagram Shilole amesema hajawahi waitisha mashabiki zake pesa kupitia mtandao wa facebook ambapo amewataka mashabiki kuwa makini na matapeli wanaotumia jina lake kujipatia pesa kwani ukurasa wa facebook ambao walaghai […]
Read More