Timu ya taifa ya raga Shujaa yafuzu fainali ya mashindano ya raga ya Singapore
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande Shujaa, imefuzu kwa mechi ya fainali katika mashindano ya raga ya Singapore baada ya kuitandika Uhispania kwa alama 12-5 kwenye mechi ya nusu fainali ya kwanza. Timu hiyo inayofunzwa na Kevin Wambua, sasaitachuana na Fiji kwenye mechi ya fainali leo alasiri. Shujaa ilianza mechi hiyo […]
Read More