CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

Rapa Cardi B alikuwa anapaza sauti yake kwenye mijadala mbali mbali ya siasa za nchini Marekani, lakini kuna muda alikuwa hasikiki tena na watu kuanza kujiuliza maswali. Akijibu swali hilo ambalo aliulizwa na shabiki mmoja kupitia ukurasa wake wa Twitter, Cardi B amesema aliamua kukaa kimya kutokana na kunyanyaswa na kambi ya chama cha Republican […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE: SINA MPANGO WA KUREJEA TENA KWENYE SIASA

JOSE CHAMELEONE: SINA MPANGO WA KUREJEA TENA KWENYE SIASA

Bosi wa lebo ya muziki ya Leone Island msanii Jose Chameleone ameweka wazi kwamba hana mpango tena wa kuingia kwenye siasa. Chameleone amesema siasa inataka pesa nyingi sana na kwa mantiki hiyo itakuwa vigumu kwake kuwania wadhfa wowote wa kisiasa. Hata hivyo amesisitiza kwamba licha ya watu kutompigia kura kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu uliopita […]

Read More