Vybz Kartel amposa mrembo wa Kituruki Sidem Ozturk

Vybz Kartel amposa mrembo wa Kituruki Sidem Ozturk

Mkali wa Dancehall mwenye umaarufu mkubwa duniani Vybz Kartel ambaye kwa sasa anaendelea kusotea gerezani, amemposa mrembo Mturuki Sidem Ozturk. Kwa mujibu wa Radio ya Nation Wide, posa hilo lilifanyika wakati wa ziara iliyoidhinishwa gerezani humo, ambapo Vybz Kartel anatumikia kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Clive “Lizard” Williams. Sidem Ozturk ambaye ameajiriwa huko […]

Read More