SIMI AFIKISHA STREAM MILLIONI MOJA BOOMPLAY

SIMI AFIKISHA STREAM MILLIONI MOJA BOOMPLAY

Mwimbaji nyota wa muziki toka nchini Nigeria, simi ambaye bado anaendelea kufanya vizuri na album yake mpya na ya tano iitwayo “To Be Honest” yenye mwezi mmoja tangu itoke, amejiunga rasmi na Golden Club ya Boomplay. Hatua hiyo kubwa kwa Simi inakuja baada ya streams zake zote za Boomplay kufika Milioni 100+ (100,000,000). Simi anakuwa […]

Read More
 SIMI AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

SIMI AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Mwimbaji nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria Simi, ameachia rasmi album yake mpya iitwayo “To Be Honest”. Album hiyo ina jumla ya mikwaju 10 ya moto huku ikiwa na kolabo 3 kutoka kwa wakali kama Adekunle Gold, Fave na Deja. To Be Honest ina nyimbo kama Story Story, No Joy, Balance, Born Again na tayari […]

Read More
 SIMI AWEKA REKODI KWENYE MTANDAO WA AUDIOMACK AFRIKA

SIMI AWEKA REKODI KWENYE MTANDAO WA AUDIOMACK AFRIKA

Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, msanii Simi anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni ya nyimbo zake. Simi amefanikiwa kushika rekodi ya kuwa msanii wa kike Afrika kufikisha Streams Milioni 100 kwenye platform ya kuuzia muziki ya Audiomack kwa nyimbo zake zote. Hadi sasa ana jumla ya streams Milioni 124. Simi ambaye jina lake halisi ni Simisola Bolatito […]

Read More