Sarah Mtalii Afafanua Kuhusu Video Yake na Simon Kabu: “Hatujarudiana, Tulikuwa Kazi Tu”

Sarah Mtalii Afafanua Kuhusu Video Yake na Simon Kabu: “Hatujarudiana, Tulikuwa Kazi Tu”

Mfanyabiashara maarufu Sarah Mtalii ametoa ufafanuzi kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha akiwa na aliyekuwa mumewe, Simon Kabu, akisema wazi kuwa haikuwa safari ya kimapenzi bali ya kibiashara. Kupitia taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari, Sarah alieleza kuwa video hiyo imechukuliwa visivyo na umma, huku wengi wakidhania kuwa wawili hao wameamua kurejeana kimapenzi. Hata hivyo, Sarah […]

Read More