Nadia Mukami Atoa Kauli Nzito Kuhusu Single Mothers

Nadia Mukami Atoa Kauli Nzito Kuhusu Single Mothers

Staa wa muziki, Nadia Mukami, amefunguka ya moyoni kuhusu unyanyapaa unaowakumba kina mama wanaolea watoto wao pekee yao (single mothers). Kupitia mitandao ya kijamii, Nadia ameeleza masikitiko yake kuhusu namna jamii imezoea kuwaelekezea lawama wanawake hao, huku ikiwapuuza kabisa wanaume waliokimbia majukumu yao ya malezi (deadbeat dads). Amebainisha kuwa sababu za mwanamke kuwa mama mlezi […]

Read More