MWIMBAJI NYOTA WA WIMBO “EKWUEME” AFARIKI DUNIA
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sister Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia katika Hospitali moja iliyoko Abuja nchini Nigeria. Osinachi alifariki dunia jioni ya jana Ijumaa (April 8, 2022) baada ya Kupambana na ugonjwa usiojulikana kwa takriban miezi miwili huku vyanzo vingine vikidai ni kansa ya koo Kifo […]
Read More