Size 8 Afichua Alivyokulia Katika Mazingira ya Ushirikina
Msanii wa muziki wa injili kutoka Kenya, Size 8 Reborn, amefunguka kuhusu maisha yake ya nyuma, akieleza kuwa alikulia katika mazingira yaliyohusisha imani za kishirikina ambazo zilimuweka katika hali ya hofu na minyororo ya kiroho. Akisimulia historia yake, Size 8 amesema alitoka katika familia iliyokuwa imejikita katika ushirikina, na kwamba kulikuwa na imani kuwa wanafamilia […]
Read More