Sizzla Kalonji Afichua Sababu za Kujiondoa One Caribbean Festival nchini Trinidad
Msanii wa reggae kutoka Jamaica, Sizzla Kalonji, amekanusha vikali madai kuwa alijiondoa kwenye tamasha la One Caribbean Music Festival nchini Trinidad kwa sababu ya kutaka kulipwa sawa na Vybz Kartel. Kupitia taarifa rasmi kwa jina lake halisi, Miguel Collins, Sizzla amesema madai hayo ni uongo na hayana msingi. Sizzla ameeleza kuwa yeye na timu yake […]
Read More