Leila Kayondo na mpenzi wake wa zamani SK mbuga wafufua tena penzi lao
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Leila Kayondo amethibitisha kumaliza tofauti zake na mpenzi wake wa zamani SK mbuga baada ya wawili hao kutupiana maneno makali mtandaoni. Kupitia mahojiano yake Kayondo amesema kwa sasa yeye na SK Mbuga ni marafiki wakubwa huku akidai kuwa huwa wanazungumza mara kwa mara kuhusu masuala ya kibiashara na maisha kwa ujumla. […]
Read More