Sleepy David Abatizwa, Aanza Safari Mpya ya Kiroho

Sleepy David Abatizwa, Aanza Safari Mpya ya Kiroho

Mchekeshaji maarufu wa Kenya Sleepy David ametangaza hatua ya kipekee katika maisha yake kwa kujitolea kikamilifu kwa Mungu na kubatizwa kama ishara ya kuanza maisha mapya ya kiroho. Kupitia mitandao ya kijamii, Sleepy David alishiriki picha na video za tukio hilo la ubatizo, akionekana akiwa mwenye furaha na amani. Mchekeshaji huyo, ambaye amejizolea umaarufu kutokana […]

Read More