Snoop Dogg athibitisha ujio wa Album yake mpya, Adai Dr. Dre amehusika pakubwa
Mkali wa muziki wa Hiphop Duniani Snoop Dogg amethibitisha ujio wa Album yake mpya “Missionary” ambayo imetayarishwa na swahiba wake wa muda mrefu, Mtayarishaji mkongwe Dr. Dre. Snoop amefunguka hayo kupitia podcast ya ‘Know Mercy’ na Mtangazaji Stephen A. Smith, ambapo amesema Album hiyo ipo jikoni inapikwa kwa sasa. Kwa mujibu wa Snoop ‘Missionary’ itatoka […]
Read More