SNOOP DOGG AACHIA ALBUM YAKE MPYA – ALGORITHM
Nguli wa muziki wa hiphop duniani Snoop Dogg ameikata kiu ya mashabiki zake, kwani tayari ameiweka sokoni Album yake mpya inayokwenda kwa jina la ALGORITHM. Kupitia ukurasa wake wa Instagram snoop dogg Amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka ” • ALGORITHM available Now” ikiashirikiana album hiyo tayari inapatika kwenye Digital platforms zote za kupakua na […]
Read More