Google Yazindua Nembo Mpya na Mtindo wa Rangi wa Soft Transition
Google imezindua nembo mpya yenye mtindo wa soft transition wa kupanga rangi, ambapo rangi zinazotumika bado ni zile za zamani – buluu, nyekundu, njano, kijani, na kijivu. Hata hivyo, mpangilio wake wa rangi umebadilika, na sasa inafanana na mtindo maarufu wa rangi za Instagram, ambapo rangi hupungua kwa urahisi kutoka kivuli kimoja hadi kingine. Mabadiliko […]
Read More