Klabu ya Fiorentina haina mpango wa kumuuza mchezaji wa Morocco Sofyan Amrabat
Mkurugenzi wa klabu ya Fiorentina inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A ameeleza hawana mpango wa kumuuza kiungo wa kimataifa wa Morocco Sofyan Amrabat mwenye umri wa miaka 26. Kiungo huyo ambaye ameonesha ubora mkubwa kwenye michuano ya kombe la dunia huku akiisaidia timu yake ya taifa ya Morocco kufika hatua ya Nusu […]
Read More