Eric Omondi apigwa marufuku kuhudhuria tamasha la Sol Fest
Mwimbaji mkuu wa Sauti Sol Bien-Aime Baraza amempiga marufuku mchekeshaji Eric Omondi kuhudhuria tamasha lijalo la Sol Fest. Katika taarifa aliyotoa kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bien ameweka wazi kuwa Omondi hataruhusiwa katika ukumbi wa hafla hiyo kutokana na kitendo chake cha kuwazungumzia vibaya wasanii wa Kenya. Hitmaker huyo wa βInaumaβ ameongeza kuwa tayari wameagiza […]
Read More