WASANII WA SOL GENERATION WAACHIA RASMI CHRISTMAS EP
Wasanii wa Sol Generation Bensoul, Aaron Rimbui, Nviiri the Storyteller na kundi la Sauti Sol wameachia rasmi ep yao mpya iiitwayo Christmas EP. EP hiyo ambayo ni mahususi kwa ajili ya siku kuu ya krismasi ina jumla ya mikwaju 5 za moto. Chrismas EP ina nyimbo kama High high New Year, My Dark Twisted, Home for christmass, Enjoyment, Christmas in Nairobi na Heartbreak on Christmass. Hata hivyo EP hiyo inapatikana exclusive kwenye mitandao yote ya kupakua na kusikiliza duniani.
Read More