Miley Cyrus Atangaza Ujio wa Albamu Mpya ‘Something Beautiful’
Mwanamuziki nyota Miley Cyrus ametangaza orodha ya nyimbo katika albamu yake ya nane ya studio Something Beautiful, inayotarajiwa kuachiwa rasmi Mei 30 mwaka huu. Albamu hiyo ina jumla ya nyimbo 13, zikiwemo kolabo mbili: “Walk of Fame” akiwa na Brittany Howard, na “Every Girl You’ve Ever Loved” akimshirikisha mwanamitindo Naomi Campbell. Albamu hii imezua msisimko […]
Read More