EDDY YAWE AWAPA SOMO WASANII WA UGANDA
Mkongwe wa muziki kutoka nchini uganda Eddy yawe ametoa changamoto kwa wasanii kutia bidii kwenye kazi zao za muziki ili waweze kutimiza malengo yao maishani. Yawe ambaye ni kaka wa bobi wine amesema kiwanda cha muziki nchini uganda kina fedha nyingi hivyo wasanii wanapaswa kujenga tabia ya kuweka akiba badala ya kutumia pesa zao zote […]
Read More