Sosuun Atoa Somo kwa Mabinti Kuhusu Maisha Bila Watoto

Sosuun Atoa Somo kwa Mabinti Kuhusu Maisha Bila Watoto

Msanii maarufu wa Kenya, Sosuun, ameibua mjadala mkubwa baada ya kutoa ujumbe mzito unaolenga mabinti nchini kuhusu uamuzi wa kutokuwa na watoto. Kupitia video yake Instagram, Sosuun alisema kuwa kutokuwa na watoto kunaweza kuonekana kama uamuzi sahihi katika kizazi cha sasa, hasa kwa kuzingatia changamoto za mahusiano yasiyodumu na watoto kukosa malezi ya wazazi wote […]

Read More
 SOSUUN NA VIVIAN WASHAMBULIWA MTANDAONI KWA KUTUMIA KIKI KUTANGAZA NGOMA YAO MPYA

SOSUUN NA VIVIAN WASHAMBULIWA MTANDAONI KWA KUTUMIA KIKI KUTANGAZA NGOMA YAO MPYA

Mashabiki wa muziki nchini wamewatolea uvivu wasanii Vivian pamoja na Sosuun baada wasanii hao kuonekana kutumia kiki kutangaza kazi yao mpya ambayo itaingia sokoni hivi karibuni. Kupitia mitandao yao ya kijamii wawataka Vivian na Sosuun waache suala la kuendekeza kiki kwenye muziki wao na badala yake watoe muziki mzuri ambao utajiuza wenyewe. Aidha wameenda mbali […]

Read More
 SOSUUN AMVUA NGUO VIVIAN KWA MADAI YA KUMVUNJIA HESHIMA

SOSUUN AMVUA NGUO VIVIAN KWA MADAI YA KUMVUNJIA HESHIMA

Rapa wa kike nchini Sosuun amemsuta vikali msanii vivian kwa madai ya kuvumnjia heshima aliposema kwenye moja ya post yake kwenye mtandao wa Instagram kuwa familia ya msanii huyo ndio imeua kipaji chake cha muziki. Kwenye post hiyo vivian alitoa rai kwa sosuun arudi tena kwenye muziki kutokana na mashabiki kukosa nyimbo zake kwa muda […]

Read More