KENRAZY ADOKEZA UJIO WA KAZI MPYA NA SOSUUN PAMOJA NA DUFLA DILIGION
Staa wa muziki nchini Kenrazy ametangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha Sosuun na Dufla Diligion. Rapa huyo mkongwe ametuweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushae picha ya pamoja na wasanii hao na kusindikiza na caption inayosomeka “SOSUUN x DUFLA DILIGON x KENRAZY Merry Christmas Everyone and STAY TUNED!!! LOADING…..” Ujumbe […]
Read More