SOULJA BOY AFUNGUKA SABABU ZA KUTOFANYA KOLABO NA TEKASHI 69
Rapa kutoka Marekani Soulja Boy amefunguka na kudai kuwa hatokuja kufanya Kolabo na rapa mwenzake Tekashi 69 hadi mwisho wa dunia. Kwenye mahojiano na Podcast ya Mtangazaji Raquel Harper “It’s Tricky with Raquel Harper” rapa hyo aliulizwa ni namna gani atalipokea ombi la Kolabo kutoka kwa Tekashi 69 ambapo, alijibu kwa kusema kwamba “Haiwezekani, sitakuja […]
Read More