Khaligraph Jones na wasanii wengine kutoka Kenya watajwa kuwania tuzo za Sound City MVP 2023

Khaligraph Jones na wasanii wengine kutoka Kenya watajwa kuwania tuzo za Sound City MVP 2023

Kituo cha Televisheni cha Sound City kimeanika vipengele vya Tuzo zake za Sound City MVP 2023 ambapo wasanii mbali mbali kutoka barani Afrika wametajwa kuwania Tuzo hizo kwa mwaka huu zinazotarajiwa kutolewa Februari 11. Kenya imepata Vipengele kadhaa ambapo tumewakilishwa na Khaligraph Jones, Wakadinali, Bien, pamoja na Aaron Rimbui. Khaligraph Jones ametajwa kwenye kipengele cha […]

Read More