Pepe Reina Atangaza Kustaafu Rasmi Baada ya Miaka 26 ya Soka

Pepe Reina Atangaza Kustaafu Rasmi Baada ya Miaka 26 ya Soka

Golikipa mkongwe wa Kimataifa, Pepe Reina, ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa hii leo, akihitimisha safari ya kipekee ya miaka 26 langoni. Reina, ambaye aliwahi kuichezea vilabu vikubwa barani Ulaya ikiwemo Liverpool, Bayern Munich na AC Milan, ameachana rasmi na soka akiwa na umri wa miaka 41. Reina alianza kung’ara akiwa na klabu ya […]

Read More
 Morocco yatinga robo fainali Kombe la Dunia

Morocco yatinga robo fainali Kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Morocco imeandika historia kubwa ulimwenguni baada ya kuitoa Hispania na kutinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia 2022 mchujo Qatar. Baada ya sare ya 0-0 ikicheza kwa kujilinda ndani ya dakika 120, Simba wa Atlasi walikwenda kushinda kwa penalti 3-0, shujaa akiwa na kipa Bono aliyeokoa penalti mbili za Sergio Busquets […]

Read More
 Japan yafanya maajabu Kombe la Dunia 2022

Japan yafanya maajabu Kombe la Dunia 2022

Timu ya Taifa ya Japan imefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya kombe la Dunia baada ya kuitandika Uhispania 2-1 katika mchezo wa mwisho wa kundi E Ushindi huo umeifanya Japan kumaliza wakiwa vinara kwenye kundi hilo lililokuwa na vigogo vya Uhispania na Ujerumani waliopewa nafasi kubwa zaidi. Ujerumani licha ya kuibuka na […]

Read More