Nurse Judy amkemea Sparky Kenya kudharau watu wenye miaka 35 wasio na magari
Mshawishi wa mitandaoni, Nurse Judy, amemtolea uvivu mtayarishaji wa maudhui yenye utata, Sparky Kenya kufuatia video moja iliyoenea mitandaoni ambapo alionekana kuwadhalilisha watu wenye umri wa miaka 35 wanaotumia usafiri wa umma Katika video hiyo, Sparky alitoa kauli ya dhihaka kuhusu watu wazima ambao bado hawana magari binafsi na hulazimika kupanga foleni au kupigania nafasi […]
Read More