SPICE DIANA AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Spice Diana amekuwa akikana kuwa kwenye uhusiano wowote wa kimapenzi na meneja wake, Roger Lubega. Katika mahojiano ya hivi karibuni mrembo huyo amewaacha mashabiki zake na maswali mengi kama kweli anatoka kimapenzi na meneja wake au la. Hii ni baada ya Spice Diana kusikika akisema kwamba kwa sasa hawapo kwenye uhusiano […]
Read More